Mkuu wa kitengo cha idara ya ufundi ya kampuni ya BMBC anashukuru wateja wa kampuni hiyo wenye kuishi Burundi na wenye nje ya nchi kwa kazi waliotoa kwa kampuni hiyo tangu ianze kazi miaka 10 iliopita.
Mkuu huwo alisema kwamba anatoa shukrani zake kuona kampuni ya BMBC ilipata kazi siku zote na wateja wake na kuwa wanajivunia hilo sababu ilisaidia sana kampuni kupata maendeleo mbali mbali.
Msimamizi idara hiyo anasema kwamba anafurahisha san ushirikiano na utendakazi mzuri kati ya wanaofanyia kazi kwenye nyumba zinazojengwa na wafanyakazi wa ofisi kuu sababu ni ishara ya mafanikio kwa kampuni yote na wateja wa kampuni.
Msimamizi wa idara ya ufundi ya BMBC anatoa wito kwa wanaofanyia kazi kwenye nyumba zinazojengwa kutimiza wanayoambiwa na wasimamizi wao sababu wakifanya hivyo huleta faida kwa kampuni na kwa wateja wa kampuni.