Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mmoja katika wanaosimamia majengo ya kampuni ya BMBC anasema kwamba elimu wanaoendelea kupewa na kampuni hiyo huwasaidia kufanya kazi yao vyema.

Katika mahojiano na kitengo cha kutoa habari cha BMBC,mfanyakazi huo alisema kuwa BMBC inaendelea kuwaelimisha kiasi kwamba alieanza akiwa fundi msaidizi hupanda cheo na kuwa fundi wa kukamilika.

Alisema:“Tunaendelea kupata elimu,vinatusaidiya kuajibika ipasavyo katika kazi yetu ya kujenga.”

Mfanyakazi huwo anasema kwamba elimu wanayoyipewa inawasaidia kiasi kwamba anayetumikia elfu tano kwa siku akiwa fundi msaidizi hupanda na kutumikia elfu 10 baada ya kuwa fundi rasmi.

Huwo mfanyakazi anasema licha ya kutumikia hela,hunufaika elimu mbali mbali sababu wanaendelea kusoma ujuzi unaoendana na majengo ya kisasa.

About the author

Leave a Reply