Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Waliohitimu chuo cha BMBC wasifia ujuzi wa shule hilo.

Vijana waliosomea kwenye chuo cha BMBC wanashukuru elimu nzuri walioyipata kuhusu kuandaa kazi kwenye uwanja wa kujenga na kuzisimamia mpaka mwisho wa ujenzi.

Katika mahojiano na kitengo cha kutoa habari cha BMBC,walisema kwamba chuo cha BMBC kinaandaa wanafunzi  kuhusu kazi za uwanja wa kujenga na kazi za ofisini pamoja.

Wanafunzi hao wanashukuru sana chuo hicho kuwa hakibaguwi wenye ujuzi huu ao ule ila kutokana na wafundi mahiri wa chuko hicho wote wanapokelewa.

Hawo wanafunzi wanaomba wateja wa BMBC kuwapa kazi wahudumiwe sababu unayejengewa na BMBC hakutani na tatizo yoyote .

About the author

Leave a Reply