Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anafahamisha kuwa nyumba ya kawaida inaweza kuwa ya kisasa kuliko nyumba ya ghorofa,wakati nyumba ya kawaida ikiwa na vifaa vyote vya kisasa ambavyo gorofa haina.

Katika mahojiano alisema kwamba nyumba za kisasa hata kama sio ghorofa ni nyumba iliojengwa kwa vifaa vitakayoyifanya kudumu muda mrefu,inatakiwa kuwa na internet,jiko la kisasa,vifaa vya kuzima moto wakati moto unalipuka pamoja na vifaa vya kuchunga usalama .

Mkurugenzi mkuu wa BMBC alisema kwamba hata kama nyumba ni ghorofa kama haina internet ,haina jiko la kisasa, haina vifaa vya kuchunga usalama na vifaa vingine vya kisasa hayiwezi kuchukuliwa kama nyumba ya kisasa.

Alisema:«Watu wanajenga nyumba zisizokuwa na kifaa cha kuchunga usalama,isiwe na kifaa cha kuzima moto unapolipuka,isiwe na internet,hiyo siyo nyumba ya kisasa ingawa ni ghorofa.»

Mkurugenzi huwo anasema kwamba miaka iliopita mtu anayejenga ghorofa akiweka choo cha kukalia,nyumba hio ilikuwa inaitwa ya kisasa ila miaka hii nyumba ya kisasa lazima iwe na vitu vya kisasa vilivyotajwa hapo juu.

Alisema:«kujenga vitu vya kisasa ni kujenga pi kwa aina mpya ambayo hijafanywa na mtu yeyote.»

Mkurugenzi mkuu wa BMBC alisema kuwa kampuni ya BMBC ina kitengo cha kuandaa vema na kutenda nyumba za kisasa hata kama siyo ya ghorofa.

 Aliongeza:«Turanaweza sana kujenga nyumba za kisasa,wanoona majengo yetu husema kwamba utalamu wetu ni wakulipwa!»

Mkurugenzi huwo mkuu anatoa wito kwa watu wenye uwezo kujenga nyumba za kisasa zenye vigezo na vifaa vya kisasa.

About the author

Leave a Reply