Kila mara kampuni ya BMBC inapokuwa na mradi mkubwa inatumia maabara ya Kitengo kinachohusika na kuandaa miji,ujenzi na makazi maarufu (OBUHA) na hivo kitengo hicho kinaleta vifaa vinavyoendana na mradi.
Kama kuna mradi wa kawaida OBUHA inashirikisha wafanyakazi wake wa maabara kutumia vifaa vinavyoendana na mradi unaokuwepo.


Katika kazi za za kila siku,kampuni ya BMBC linafanya miradi ya wateja wake kwa kufuata sheria inayohusu ujenzi ili majengo yao yawe ya kudumu.