Wafanyakazi wa kampuni ya BMBC wanasema kwamba wanaridhika na utaratibu wa kampuni hiyo wa kutoa elimu kwa wafanyakazi wake .
Mmjoa kati ya wafanyakazi wa BMBC alisema kwamba shule inayoandaa wasaidizi wa wafundi na inayoandaa wafundi kupanda ngazi za juu ,shule hizo za umuhimu sana kwao.
Alisema kwamba wanafurahishwa na shule za kampuni ya BMBC zinazosaidiya wafanyakazi kupata elimu zaidi ili kampuni ipate maendeleo.
Mfanyakazi huwo alisema: « Hakuna ambaye hawezi kufurahia hatuwa anayoyifika kwa sasa ,sisi wote tulipanda cheo baada ya kupewa elimu .»
Mfanyakazi huwo alisema kuwa alianza akiwa fundi wa kawaida baada ya kupewa elimu hivi ni msimamizi mkuu wa nyumba zinazojengwa na BMBC .
Mfanyakazi huwo anaomba wafanyakazi wenzake kupenda masomo wanayoyapewa na BMBC kwa kupenda kazi na kuwa waaminifu ili kampuni ipate maendeleo.