Wateja wa kampuni wa BMBC wanaendelea kutoa kazi kwa kampuni hiyo ili iwatimiziye miradi yao ya kujenga nyumba wanazozihitaji hasa hasa nyumba za kisasa.
Wafanyakazi wa kampuni ya BMBC wamefika kwenye uwanja wa mteja ambapo kampuni hiyo inatarajiya kujenga nyumba ili waweze kupata vipimo halisi vitakavyosaidia kuchora nyumba itakayojengwa.



Watu wote wenye mipango ya kujenga nyumba ndefu,daraja na vinginevyo wote mnaalikwa kujiunga na kampuni ya BMBC ili iwatimiziye miradi yenu.