Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Ujuzi na utalamu wa kampuni ya BMBC,chanzo cha kupata kazi kwa kampuni hiyo.

Mmoja katika wafanyakazi wa BMBC anasema kwamba nyumba ya mteja anayeishi nje ya nchi waliojenga walifahamiyana kupitia mitandao ya kijamii baadaye akawapa kazi ili wamujengee.

Mfanyakazi huwo anasema kwamba baada ya kujua BMBC aliyifahamisha mahitaji yake kuhusu nyumba yake ,kisha kuonyeshwa vinavyohitajika wakakubaliana na mwisho kazi ikaanza.

Kampuni hiyo inaaminiwa na watu kutokana na habari zake inazozipeperusha na wengine hupitia kwa ndugu zao wenye kuishi Burundi ambao wanawafahamisha mengi kuhusu kampuni hiyo.

Mfanyakazi huwo anaongeza kuwa BMBC inatumiya wafundi wake binafsi hata kama wengi wanadhani kwamba wanatoka nje sababu ya kazi nzuri wanayoyifanya.

Tizama hapo juu picha za nyumba ya mteja anayeishi nje ya nchi ambao Kampuni BMBC imemaliza kujenga.

Alifafanua kwamba wafundi wa BMBC hufanya kazi nzuri sababu ya mafunzo wanayoyapata mara nyingi.

Alisema: “Kazi zote za kampuni ya BMBC hufanywa na wafundi wetu.”

Mfanyakazi huwo anamaliza kwa kutoa wito kwa watu wenye miradi na mipango ya kujenga kushirikiana na kampuni ya BMBC ili itimize mahitaji yao.

About the author

Leave a Reply