Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Shirika la warundi wanaoishi nje ya nchi (Diaspora Burundiase) linaomba wanaoishi nje kushirikisha kampuni ya BMBC katika miradi yao ya ujenzi.

Makamu wa  shirika la warundi waishio nje ya Burundi (Diaspora Burundaise) anashauri warundi wanaoishi nje ya nchi wenye miradi ya kujenga nchini kushirikiana na kampuni ya BMBC ili iwahudumiye kwa kuwajengea.

Jean Berchimas MANIRAKIZA makamu wa shirika hilo alisema hayo baada ya kutembelea kampuni ya BMBC na kukuta ni kampuni yenye uaminifu yenye wafundi mahili na uzoefu wa kazi.

Alisema:« baada ya kuuliza na kuwatembelea,tuligundua kampuni ya BMBC ina uaminifu kwa watu na uzoefu wa kutosha.»

Jean Berchimas amesema kwamba walifika ofisini ya BMBC kwa malengo ya kufahamu jinsi kampuni hiyo inavyofanya kazi na walikuta ni ni kampuni nzuri yenye uaminifu waishio nje ya Burundi wanaweza kushirikiana nayo katika miradi yao ya ujenzi.

Makamu huwo anasema kuwa kampuni ya BMBC inafanya kazi vema,kwa hivo habari nzuri hiyo lazima ifikie warundi wanaoishi nje ya Burundi wenye mipango ya kujenga ili waweze kushirikiana na kampuni hiyo katika mipango yao ya kujenga nyumba.

About the author

Leave a Reply