Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Shirika la warundi wanaoishi nje ya nchi (diaspora burundaise) limetembelea mradi wa BMBCHOMESBujumbura-Gahahe2021.

Shirika la warundi wanaoishi nje ya nchi (diaspora burundaise) limetembelea mradi wa BMBCHOMESBUJUMBURA-GAHAHE kwa malengo ya kujionea jinsi mradi huwo unavyosonga mbele tangu uanze.

Makamu wa mkuu wa shirika hilo, Jean Berchimas MANIRAKIZA aliwewakilisha mkuu wake,alisema kwamba warundi wanaoishi nje ya nchi wenye mipango ya kujenga nchini ,waliwatuma ili wawatafutiya watu wenye uaminifu ambao wanaweza kusimamia miradi yao ya ujenzi.

Jean Berchimas MANIRAKIZA alisema:”Kujenga ukiwa nje ya nchi siyo rahisi,wengi waliibiwa na wenye kuwasimamia inaomba tushirikiane na watu waaminifu.”

Makamu huwo wa shirika la Warundi waishio nje ya nchi alisema kuwa sababu ya kuibiwa warundi waishio nje ya nchi waliwatuma kuwatafutia waaminifu ili anayetaka kujenga nchini Burundi iwe rahisi kwake.

Jean Berchimas MANIRAKIZA anasema kwamba walifanya uchunguzi wakakuta kampuni ya BMBC ina uzoefu na wafanyakazi wenye kuweza,kwa hivo warundi waishio nje ya nchi wanaweza kununua nyumba katika mradi wa BMBCHOMES2021BUJUMBURA-GAHAHE.

About the author

Leave a Reply