Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anafahamisha kwamba wameshaanza kupunguza bei kwa wanaofanyisha mahesabu ya miradi yao ya ujenzi na miundombinu.
Katika mahojiano,mukurugenzi huwo alisema kwamba kama kawaida ya kipindi cha kiangazi ,mwaka huu wa 2022 wameshaanza kupunguza bei ya kufanya mahesabu ya miradi ya ujenzi kwa wateja wote mpaka mwishoni mwezi wa nane.

Kampuni ya BMBC inaalika watu wenye miradi ya ujenzi waishio nje ya nchi na ndani ya nchi kushirikiana na kampuni hiyo katika kipindi hiki cha kiangazi ili wapunguziwe bei ya kufanya mahesabu ya miradi yao ya ujenzi.