Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Kampuni ya BMBC katika utendazi kazi kwake inaanda inavyotakiwa uwanja inapotaka kufanya mradi wa ujenzi ili jengo litakalowekwa katika uwanja huwo iwe ya kudumu.

Kampuni hiyo ina vifaa vinavyohitajika katika miradi ya ujenzi ukianza katika vifaa vya  kuanda uwanja ambapo jengo litajengwa.

Kampuni hiyo inatimizia miradi ya wateja wote kwenye viwanja tofauti iwe ni sehemu yenye kuwa na maji chini,sehemu ao sehemu yenye kuwa juu ya mlima ao chini,jengo lolote mteja analolihitaji linatimizwa.

Mwenye mradi wa ujenzi ambaye hatambuwi jinsi anaweza kutumia uwanja wake,anaweza kushirikiana na kampuni ya BMBC ili itimize mradi wake.

About the author

Leave a Reply