Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mwanafunzi wa kike anayejifunza kujenga nyumba anajivunia elimu anayopewa.

Mwanafunzi wa kike anayesoma chuo cha kampuni ya BMBC cha  kufundisha wafundi anasema kwamba atamaliza shule hilo akiwa fundi mahari mwenye utalamu sababu wanafundishwa ipasavyo.

Huwo mwanamke anasema kwamba aliokuja kuomba kazi kwenye kampuni ya BMBC alikuwa fundi msaidizi lakini kwa sasa anashukuru kuona yuko anajifunza ili awe fundi kamili.

Mwanafunzi huwo alitoa shukrani kwa mkurugenzi wa BMBC aliyemushauri kujifunza ufundi wa kujenga.

Huwo mwanamke anashukuru sana wateja waliotoa kazi kwa kampuni ya BMBC hata na wenye kuwa na mpango wa kutoa kazi kwa kampuni hiyo.

Mwanafunzi huwo anamaliza kwa kufahamisha wateja wa kampuni ya BMBC kuwa  kampuni hiyo ina wafundi mahiri wa kutosha na wengine wanaendelea kufunzwa kwa hiyo anawaomba watowe kazi kwa kampuni ya BMBC.

About the author

Leave a Reply