Kampuni ya BMBC ilisaini mkataba na wafanyakazi wapya tarehe 25 Oktoba 2021 kwa niaba ya kutoa huduma bora kwa wateja ambao wanaongezeka kwa uwingi.
Mkurugenzi alisema:« Wateja wanapoongezeka,lazima tuajili wafanyazi wapya.»
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni alisema « kuona wateja wamekuwa wengi ni lazima tuajili wafanyakazi wengine wapya. Ili tuweze kuhudumiya vema wateja wa kampuni yetu.
Mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo aliomba wafanyakazi wapya kufanya kazi kwa bidii ili wateja wahudumiwe inavyotakiwa.