Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anasema kwamba wafanyakazi wa kampuni hiyo wanafanya kazi vizuri yao sababu kazi wanazozifanya zinatoa matunda mazuri katika kampuni.

Katika mahojiano na kitengo cha kutoa habari cha BMBC,mkurugenzi huwo alisema kwamba wafanyakazi wao wanafanya kazi zote kiasi kwamba kampuni haihitaji wengine kutoka nje ya kampuni.

Mkurugenzi wa BMBC alisema:«Wafanyakazi wa BMBC wanaweza kazi,wafanyakazi wetu wanafanya kazi zote za kampuni yetu.»

Tuwakumbushe kwamba kampuni ya BMBC ilichukuwa hatua ya kufundisha wafanyakazi wake ili waweze kutumikia kampuni hiyo.

About the author

Leave a Reply