Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anasema kwamba tangu waanze kazi za kujenga nyumba hawajawahi kushindwa kuajibika ao wakutane na shida kuhusu kazi ya mteja wake.

Mkurugenzi huyo alisema hayo siku ambapo wasimamizi wa shirika la warundi waishio nje ya Burundi walitembelea mradi wa BMBCHOMESBujumbura-Gahahe2021 ili wajionee hatuwa ya mradi huwo.

Mkurugenzi mkuu wa BMBC alisema kwamba kampuni ya BMBC ina miaka kumi ikiwa inafanya kazi ya kujengea watu,ina wafundi mahiri wenye kuzoea kazi, hivyo hufanya watu kutoka nchi mbali mbali kuamini hiyo kampuni.

Alisema:« Hatujawahi kushindwa katika kazi hii hata siku moja.»

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC alimaliza akisema kwamba mradi wa BMBCHOMESBujumbura-Gahahe2021 uliandaliwa na wafanyakazi wa BMBC bila kushikirikisha watu kutoka nje ya kampuni.

About the author

Leave a Reply