Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mkurugenzi mkuu wa BMBC alisema: «Wanaoshuhudia kazi zetu wanatupa kazi mara moja.»

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anasema kwamba watu wanaoshuhudia kazi za kampuni hiyo huwapaka kazi bila pingamizi.

Mkurugenzi wa BMBC alisema hivo baada ya kutembelea nyumba iliyojengwa ya mteja anaeishi nje ya Burundi.

Mkurugenzi huwo alisema alikuta nyumba hiyo inajengwa ipasavyo na kuwa kibarua hicho walikipata mwenye nyumba aliopona nyumba ya jirani yake iliojengwa na BMBC.

Alisema : «Watu ambao hawajatupa kazi ni wale ambao hawajatutembelea ili waone kazi zetu nzuri ! »

Mkurugenzi huwo alisema kuwa BMBC inafanya kazi vema sababu wafanyakazi wao hushinda kwenye kazi nao wanawatembelea kila muda.

Mkurugenzi mkuu wa BMBC alimaliza kuwa malengo ya kutembelea wafanyakazi ni kujihakikishia ili aone msaada wa kiufundi ambao anaweza kuchangia ili kazi isichelewe.

About the author

Leave a Reply