Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC ametoa kipindi kwa gazeti B-NP.

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC ametoa kipindi kwa gazeti B-NP ambapo alizunguma kuhusu historia ya kampuni hiyo hatuwa yake ya kisasa na mipango ya miaka ijayo.

Katika mahojiano hayo,mukurugenzi wa BMBC alisema kwamba alianzisha kampuni hiyo ili aweze kuzuia makosa aliogundua ambayo wafundi walikuwa wanafanya.

Msimamazi wa hiyo kampuni aliongeza kwamba wamesha jenga takribani majengo 50 tangu mwaka wa 2012 walipoanza kazi rasmi za kampuni.

Mkurugenzi mkuu wa BMBC alimalizia na kusema kwamba kwa sasa kampuni yao ina vipengele mbali mbali vinavyovitegemeya na siku zijazo wataanzisha mradi wa kutafuta vifaa maalamu vinavyohitajika katika ujenzi ili waweze kufanya kazi vizuri.

About the author

Leave a Reply