Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anafahamisha kuwa nyumba za mradi wa BMBCHOMES2021 ziko bei ya chini ukilinganisha na vigezo vya nyumba hizo.

Mkurugenzi huwo anasema kuwa kuna watu wanaosema jinsi nyumba za BMBCHOMES2021 zinanavyouzwa wakati hawajaongea na BMBC na bila kujua hata bei za nyumba hizo.

Bei za nyumba hizo,kuna bei inayouzwa milioni 159586898 salafu ya Burundi,nyumba ya milioni 249712662 ,nyumba ya milioni
380000000 na nyumba ya milioni 500 mpaka milioni  585.

Mkurugenzi huwo alisema kwamba hakuna sehemu mtu anaweza kununua uwanja wa kujenga na aweze kujenga mpaka tamati kwa milioni 150,hivyo huonyesha kuwa nyumba za BMBCHOMES2021 ziko bei ya chini.

Mkurugenzi wa BMBC anasema kuwa wanavyoomba wateja viko sambamba na kazi wanaowafanyia hata kwa huwo mradi ni hivo hivo.

Mkurugenzi mkuu wa BMBC alisema:« Hakuna mtaa mtu anaweza kujenga nyumba na kuimaliza kwa milioni 100, hayipo.»

Huwo mkurugenzi aliongeza kuwa wanampango wa ujenzi wa nyumba zenye bei chini ya hizo za BMBCHOMES2021 lakini zitakuwa kwenye mitaa ya kawaida.

Kuhusu wanaofikiri kwamba kulipa nyumba hizo ni kuchukua hela zote na kuzigawa na miaka 10,mkurugenzi huwo anawafahamisha kuwa hakuna sehemu unaweza kupewa mkopo na kulipa bila faida.

Mtu anaweza kulipa bei yote ya nyumba kwa ujumla bila faida ila kulipa kwa mkopo lazima alipe faida juu ya benki iliompa
mkopo.

Huwo mkurugenzi anatoa wito kwa watu wenye hela zote kununua nyumba bila kuombwa faida juu na wenye
hela asiyoenea alipe zenye anazo  na zinazobaki zitaomba kwa deni ,ambao hawajapata uwezo wasubiri miradi ijao.

About the author

Leave a Reply