Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mkurugenzi mkuu wa BMBC anatoa wito kwa watu kuanzisha miradi yao binafsi ya kujiendelesha kimaisha bila kutegemea serekali kuwapa kazi ya kufanya.

Mkurugenzi huwo alisema hayo katika ziara alioyifanya katika shule la sekondari la Mtakatifu Yusufu ya Giheta mkoani Gitega tarehe 23 mwezi wa 6,2021 ambapo shirika AEB lilianzisha rasmi kazi zake.

Katika mkutano huwo wa kuzindua rasmi uanzilishi wa kazi za shirika la AEB (Association pour l’entrepreneuriat au Burundi),mkurugenzi wa BMBC alitoa wito kwa wanafunzi wa shule hilo kuanzisha miradi yao kwa malengo ya kujiendelesha.

Mkurugenzi wa BMBC alitoa ushuhuda wake kuhusu jinsi alianzisha shirika la BMBC ambapo alishuhudia kuwa alikuwa akitembelea nyumba zenye kuwa karibu naye ili awafahamishe kuhusu shirika analolianzisha.

Mkurugenzi wa BMBC alisema kuwa ilikuwa vigumu ili watu waweze kumuelewa anavyowaambia ila mwishoni watu walithamanisha kazi yake baada ya kuona nyumba ya jirani aliojengesha.

Katika ushuhuda wake alisema kuwa alianzisha shirika la BMBC ili aweze kukosoa makosa ya kiufundi kwa kupitia shirika makosa alioyaona.

Mkurugenzi alisema : «Watu hawakuniamini ,kuna walioniita tapeli kwa kuoamini shirika ninalolianzisha.»

Katika zoezi hilo la kuanzisha rasmi kazi za AEB, walifanyisha mashindano kwa wanafunzi waliokuwa wanakaribia kuhitimu masomo ili waunde miradi yao ambapo miradi 5 ya kwanza ilipewa ufadhili wa BMBC kupitia shirika la AEB.  

Mkutano huwo ulihudhuriwa na makamu wa mkuu wa taarafa ya Giheta,msimamizi wa familia wa Yusufu Mtakatifu ulimwenguni ,mkurugenzi wa BMBC pamoja na wageni wengine.

Tuwakumbushe kwamba shirika la BMBC linatoa huduma ya kusaidia vijana kuweza kuanzisha miradi yao ya kujiendelesha kimaisha.

About the author

Leave a Reply