Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anafuatilia karibu kazi za kampuni hiyo akianzia katika ofisi za kampuni hiyo mpaka kwenye nyumba zinazojengwa na BMBC.
Kwa malengo ya kufahamu jinsi kazi za kampuni zinavyoendelea ,mkuu wa kampuni hiyo anatembelea wafanyakazi wake popote walipo iwe apate kujua jinsi kazi za kampuni zinavyosonga mbele ili aweze kutoa ushauri panapohitajika.




Kazi zinazopewa kampuni ya BMBC zinafuatiliwa kwa ukaribu kuanzia mwanzo mpaka tamati.