Mhandisi wa kampuni ya BMBC anasema kwamba alifurahishwa na mafunzo na mazowezi aliyopewa katika kampuni hiyo.
Katika mahojiano na gazeti la BNP Media, mhandisi huwo alifahamisha kuwa alipewa furs aya kupewa mazoewezi yote yanayo ambatana na ujenzi baada ya mafunzo hayo akapewa kazi kwa hiyo kampuni.
Mhandisi huwo alisema: « Kampuni ya BMBC ni familia yangu,hivi namaliza miaka miwili nikifanya kazi na kampuni hii.»

Katika kipindi hicho ,mhandisi huwo alifafanua kuwa kazi yake ni kuandaa vitu vyote vinavyohitajika ili ujenzi wa nyumba ufanywe vizuri kama uchoraji wa jengo lote na vinginevyo.
Mhandisi huwo alimaliza kwa kutoa shukrani kwa kampuni ya BMBC ambayo ilimusaidia kuwa injiniya wa kuaminika.