Mmoja katika wafanyakazi wa kampuni ya BMBC anasema kwamba kampuni hiyo inafanya kazi vema na wanaotoa kazi kwake inawahudumia ipasavyo.
Nimbona Victor anasema kwamba BMBC inafanya kazi vizuri kutokana na idadi ya kutosha ya wafanyakazi wake na wanaofuatilia kazi za ujenzi wenye ujuzi mzuri.
Huwo mfanyakazi anasema kwamba BMBC ni kampuni yenye mfano bora sababu ina wafanyakazi wake wenye bidii na wajasili.
Nimbona Victor anamaalizia kwa kutoa wito kwa watu watoe kazi kwa kampuni hiyo ili iwahudumiye kutokana na mahitaji wake.