Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mfanyakazi wa kampuni ya BMBC anasema kwamba kampuni hiyo ilimupa elimu ya kutosha kuhusu kujenga mpaka akawa fundi mahiri wa kujenga nyumba.

Katika mahojiano na kitengo cha habari cha  BMBC alisema kwamba alipata elimu yakutosha na hivi ni fundi anayesimamia wengine katika kazi.

Mfanyakazi huo alisema kwamba aliingia BMBC bila kujuwa kujenga lakini katika miaka 9 akiwa katika kampuni hiyo kwa sasa amesha elimishwa vitu vingi.

Aliongeza kuwa aliopojiunga na BMBC alikuwa bado kuunda familia ila leo ameshakuwa na familia yake sababu ya kazi aliopewa na BMBC.

Mfanyakazi huo anatoa wito kwa wengine kufahamu kazi za BMBC na ikiwezekana waweze kusoma ili wajifunze mengi.

About the author

Leave a Reply