Mmoja katika wanaosimamia majengo ya kampuni ya BMBC anasema kwamba alijiunga na shirika hilo akiwa fundi lakini aliendelewa kupewa elimu mbali mbali.
Katika mahojiano naye alisema kwamba elimu aliopewa na shirika hiyo pamoja na kufanyia kazi kwenye majengo tofauti vilimsaidiya kuajibika kama ilivyo.
Mfanyakazi huwo alisema : «Kwa sasa nasimamia majengo sababu nilifunzwa na elimu niliopewa na shirika hiyi na nikawa muaminifu.»
Katika hayo mahojiano alisema kuwa aliaminiwa na waliomfundisha baada ya kuona kwamba alizingatia elimu alioyipewa na kupewa fursa ya kusimamia majengo.
Mfanyakazi huwo anatoa wito kwa wenye mipango ya kujenga kushirikiana na kampuni ya BMBC ili itimize mipango yao ya ujenzi