Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mfanyakazi wa BMBC alisema: “Kila kazi ninayo pewa na BMBC nayitimiza ipasavyo.”

Fundi mmoja wa kampuni ya BMBC anafahamisha kwamba kampuni hiyo ilimupa kazi na kwa sasa anajenga tena vizuri sana.

Fundi huyo anasema kwamba kwa miaka minane akiwa ndani ya kampuni ya BMBC alipapatia elimu iliomsaidiya.

Katika mahojiano na kitengo cha habari cha BMBC,huwo mfanyakazi alisema kuwa anafanya vyema kazi zote anazopewa na kampuni hiyo

Mfanyakazi huwo aliongeza kuwa kampuni ya BMBC ilimsaidia ili afike kwa hatua ya kimaisha ambayo anayo kwa sasa.

Fundi huwo anatoa wito kwa watu kutoa kazi kwa kampuni ya BMBC ili itimize ndoto zao za ujenzi.

About the author

Leave a Reply