Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mmoja katika wafanyakazi wa kampuni ya BMBC anafahamisha kwamba kampuni hiyo iliwalea vizuri kutokana na elimu katika vitu mbali mbali waliopewa ili waweze kufanya kazi yoyote inayohusu ujenzi bila shida.

Katika mahojiano na kitengo cha kutoa habari cha BMBC baada ya kumukuta kati kati mwa nchi anaposimamia nyumba,alisema kuwa BMBC alimuelimisha vya kutosha mpaka akafika hatua ya msimamizi wa nyumba zinazojengwa.

Mfanyakazi huwo anasema kwamba alijiunga na BMBC mwaka 2018 ambapo walianza kumuzoesha kazi na kwas asa anasimamia nyumba zinazojengwa.

Katika mahojiano hayo,mfanyakazi huwo alimaliza kwa kutoa wito kwa watu wa sehemu mbali mbali kujiujnga nayo ili iwahudumie ipasavyo.

About the author

Leave a Reply