Mteja wa BMBC aliyeyifahamu kupitia mitandao ya kijamii alisema hana hofu yoyote kuhusu kazi za kampuni hiyo baada ya kumujengea nyumba ipasavyo.
Mteja huwo alisema kwamba mme wake alipomujilisha kuhusu kampuni alioyifahamu kupitia mitandao ya kijamii alimwambia kama wataibiwa hela.
Aliambia mme wake:«wanaume na kuibiwa mko sambamba.»
Lakini baada ya kuanza kazi na BMBC, mteja huwo aligundua kuwa ni watu wenye busara na hekima.
Alisema : «kwa sasa sina mashaka tangu nilipoona kwamba Kampuni hiini waaminifu.»
Mteja huwo alimaliza akialika wengine kutoa kazi kwa BMBC sababu inaweza kazi na waaminifu sana.