Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Kufanyia kazi kwenye majengo mbali mbali huongeza ujuzi wa kujenga.

Wanaofanyia kazi katika majengo yanaoyojengwa na kampuni ya BMBC wanasema kwamba kufanyia kazi kwenye majengo mbali mbali huwafunza ujuzi wasiowujua.

Katika mahojiano wafanyakazi hao walisema kwamba kufanyia kazi kwenye majengo mbali mbali vinawasaidiya kujua ujuzi wa kutosha kuhusu kujenga.

Wafanyakazi hawo walisema kwamba ujuzi mbali mbali wanaoujua wanapopitia kwenye majengo huwasaidia kuajibika ipasavyo.

Hawo wafanyakazi waliongeza kwamba kufanyia kazi kwenye majengo mbali mbali ni kitu muhimu sababu husaidiya kampuni kupata maendeleo.

Wafanyakazi hawo wanamaliza na kutoa wito kwa watu wasiwe na hofu yoyote ya kuwapa kazi sababu kampuni hiyo ina wafanyakazi wenye ujuzi wa kutosha.

About the author

Leave a Reply