Kama kawaida Kitengo kinachohusika na kuandaa miji,ujenzi na makazi maarufu (OBUHA) kimefika kwenye uwanja ambapo kampuni ya BMBC inatarajiwa kujenga, ili kifanye uchunguzi kuhusu ardhi hiyo.
Inatarajiwa kuwa baada ya kutoa ripoti inayoonyesha jinsi ardhi ilivyo ,itakuwa fursa kwa wafundi wa kampuni ya BMBC ili wapate miundo mbinu itakayo wasaidiya katika mradi huwo wa ujenzi.



Kampuni ya BMBC inatoa huduma nzuri kwa wateja wake ili iweze kunufaisha wateja wake waishiyo nchini kati kati na wenye kuishi nje ya nchi.