Kazi inaendelea katika nyumba mbali mbali zinazosimamiwa na kampuni ya BMBC katika maeneo mengi.
Kampuni ya BMBC inahudumia vizuri wateja wake kwa kuheshimu muda uliwopangiwa kazi.

Kampuni ya BMBC inaalika watu wote wenye mipango ya ujenzi ili iwatimiziye miradi yao ya ujenzi wanaohitaji.