Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mfanyakazi wa kampuni ya BMBC anashukuru wanaotoa kazi kwa kampuni hiyo sababu vinasaidiya kwa kiwango kikubwa familia zao kujiendelesha kimaisha.

Katika mahojiano na kitengo cha kutoa habari cha kampuni ya BMBC,alisema kwamba wanashukuru wanaotoa kazi kwa kampuni hiyo sababu familia zao zinanufaika sana na kazi hizo.

Muda uliopita,walikuwa wanajenga ghorofa ya kwanza ya nyumba ya mteja na siku zijazo wanatarajiya kupandisha ghorofa ya pili baadaye waweze kuyihezaka na mabati.

Mfanyakazi huwo anatoa wito kwa watu kufuata kwa ukaribu kazi za kampuni hiyo ili waweze kufahamu jinsi inavyojengea watu vizuri ili nao waweze kutoa kazi kwa hiyo kampuni.

About the author

Leave a Reply