Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mteja wa kampuni ya BMBC anasifu kazi ya kampuni hiyo baada ya kuyifahamu na kujengewa nyumba yake na kampuni hiyo.

Mteja huwo wa BMBC anasema kwamba aliamua nyumba yake ijengwe upya na kampuni hiyo baada ya kuona nyumba ya rafiki yake iliojengwa vizuri na BMBC.

Alisema: «Nashukuru kampuni ya  BMBC kwa kazi zake nzuri, ni watu wenye bidii wafanyakazi wake wanafuatilia kazi tangu mwazo hadi tamati ya nyumba.»

Huwo mteja alisema kwamba BMBC ni mfano bora ukilinganisha na wengine wanojenga nyumba za watu.

Alisema: « BMBC siyo kama wale wanaozunguka kwenye nyumba mbali mbali wanazozijenga,wao wanabaki kwenye uwanja tangu mwanzo hadi mwisho wa ujenzi.»

Mteja huwo  wa BMBC anatoa wito kwa watu wanaofuatilia kazi za kampuni hii kwenye mitandao ya kijamii kutoa kazi kwao ili liwajengeye ipasavyo.

About the author

Leave a Reply