Katika kampuni ya BMBC watu wakubwa wanapewa mafunzo kuhusu ujenzi ili waweze kuwa wafundi wa kujenga.
Mzee munaye muona ni mmoja katika wazee waliopewa mafunzo na kampuni ya BMBC ili wawe wafundi kamili kuhusu ujenzi wa nyumba.
Kampuni ya BMBC inasema kwamba mafunzo hayapewi vijana tu ila yeyote mwenye bidii ya kufika katika hatua anayoyihitaji.