Kampuni ya BMBC inatimiza vema miradi ya wateja wake inaoendana na vitu vya kisasa.
Kampuni ya BMBC iliahidi kuwa mradi wa BMBCHOMES2021BUJUMBURA-GAHAHE utakuwa na nyumba zenye vifaa vya kisasa vinavyoendana na maendeleo.
Kampuni hiyo inasema kuwa kwa watakaokuwa na nia ya kuwekewa mawasiliano ya kuwasiliana kati ya watu bila kutoka kwenye vyumba vyao ndani ya nyumba moja watavifanyiwa kutokana na mahitaji yao.






Kampuni ya BMBC inaalika watu ili waweze kujiunga na mradi wa BMBCHOMES2021BUJUMBURA-GAHAHE sababu utakuwa na vitu mbali mbali vya kisasa.
Wenye kuhitaji kujiunga na mradi wa BMBCHOMES2021BUJUMBURA-GAHAHE wanaalikwa kufika makao ya BMBC ili wafahamishwe utaratibu.