Kampuni ya BMBC inafahamisha kwamba kutopata maendeleo katika miradi inayoanzishwa hutokana na kuandaa miradi isiyo dumu kwa muda wa kutosha.
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC alisema kwamba mtu anaye andaa mradi wa kudumu inakuwa vizuri sana sababu utakuwepo kwa muda mrefu na pia utapanuka kwa kiwango fulani na kuweza kutoa kazi kwa wengine.

Huwo msimamizi wa kampuni ya BMBC aliongeza kwamba anaye anzisha miradi yake binafsi anachangia kwa kiwango kikubwa katika maendeleo ya taifa.
Mkurugenzi mkuu wa BMBC anatoa wito kwa watu kuandaa miradi ya kudumu muda mrefu ili iweze kutoa mchango katika maendeleo ya taifza.