Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anafahamisha kwamba mtu mwenye kuandaa mradi wake anaweza kuona vitu  ambavyo wengine hawaoni sababu ni lazima apiganie mradi aliwowuanzisha ili upate maendeleo.

Katika mahojiano na kitengo cha kutoa habari cha BMBC,alifahamisha kwamba kampuni hiyo iliandaa tangu zamani wafanyakazi wake ili kazi zake ziende vizuri  na kupata maendeleo.

Mkurugenzi wa BMBC alisema:«Tulifundisha wanafunzi wetu, na waliofanya vizuri tuliwapa kazi.»

Mkurugenzi huwo anasema kwamba mpango walioanzisha wa kutoa elimu kwa wanafunzi wao na kuwapa kazi vilitoa mchango mkubwa ili kampuni iweze kufika kwa hatua ya kuendelea.

About the author

Leave a Reply