Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Kampuni ya BMBC inafahamisha kwamba mradi wa BMBCHOMES una vitu mbali mbali vya ziada ukilinganisha na jinsi nyumba zitakavyokuwa zimejengwa.

Mkurugenzi mkuu wa BMBC anasema kwamba nyumba zitakuwa kwenye uwanja mzuri na zitakuwa za viwango vya watu wenye uwezo tofauti.

Huwo mkurugenzi anasema kuwa nyumba za BMBCHOMES ziko bei nafuu  sababu hakuna mtaa ambao unaweza kuwa na nyumba zilizojengwa kama hizo za BMBCHOMES na ziwe na bei chini kama hizo za.

Vitu vitakavyokuwa ndani ya BMBCHOMES ni nyumba za kisasa zenye kujengwa vizuri,kutakuwa maji,barabara na umeme.

Vitu vingine ni uwepo wa internet,aina ya kuchunga usalama pamoja na aina ya kupewana habari bila kutoka nje ya chumba cha nyumba.

Kuhusu ununuaji wa nyumba,mtu akisha saini makubaliano ya ununuaji atalipa asilimia 20 ya bei ya nyumba kisha benki itaanza kutimiza malengo yake.

Mkurugenzi wa BMBC anamaliza na kusema kwamba baada ya miezi baada ya makubaliano na kulipa asilimia 20 ataingia nyumba na kuanza kuilipa baada ya mwezi kwa kipindi cha miaka 10.

About the author

Leave a Reply