Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Kampuni ya BMBC inafahamisha kwamba ilipiga hatua ya kuridhisha na kwa sasa ina vitengo mbali mbali vinavyounda kampuni hiyo iliyopewa jina la BMBC Group.

Katika mahojiano na kitengo cha kutoa habari cha BMBC, mkurugenzi wa BMBC alisema kwamba anajitoa kwa hali na mali ili kampuni anayoyiongoza iweze kusonga mbele na kupanuka.

Vitengo vinavyounda BMBC Group ni pamoja na BMBCHOMES kinachohusika na kuandaa mitaa ya kuishi, BMBC Technologie kinachohusika na kutumia tekinolojia ya kisasa hasa kwa kuuza vitu kupitia internet,BMBC Logistics kinachohusika na kusafirisha watu na bidhaa.

Vitengo vingine vinavyofanya BMBC Group ni BMBC Investment Management kinachohusika na kufuatilia miradi ya kampuni pamoja na BMBC Social Initiatives kinachohusika na kuhudumia waliokutana na majangwa.

Mkurugenzi mkuu wa BMBC anasema kwamba kampuni hiyo ilipanuka kwa sababu ya ushirikiano kati ya kampuni na warundi waishio nchini kati kati na wengine waishio nje ya nchi.

About the author

Leave a Reply