Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Kampuni ya BMBC inafahamisha kwamba wafanyakazi wake hupata mafunzo katika fani mbali mbali zinazohusu ujenzi kwa malengo ya kuwarahisishia kuweza kutoa mchango kwa vitengo vingi.

Mkuu wa kitengo cha ufundi wa kampuni hiyo alieleza kuwa sababu alifunzwa fani mbali mbali katika kampuni hiyo ndivyo vilimuruhusu kufika sehemu wanapojenga nyumba ili asimamie kazi za jengo hilo.

Jukumu za kujenga nyumba hiyo zinafika mbali ambapo  vinafika katika ghorofa ya tatu na hivi karibuni wanakaribiya kuyihezeka.

Mkuu wa kitengo cha ufundi alieleza kuwa baada ya kuhezeka watashughulika na kazi za mwisho mwisho zinazoendana na kumaliza nyumba.

About the author

Leave a Reply