Kampuni BMBC linafahamisha kwamba mradi wa BMBCHOMES utakuwa kwenye uwanja uliotengenezwa vizuri na nyumba zitakuwa zinafanana.
Katika mahojiano,mkurugenzi wa kampuni BMBC alisema nyumba zitafafana upande wa nyuma ya nyumba ukiacha ndani ya nyumba.Mradi huo utakuwa kwenye uwanja uliotengenezwa vizuri.
Mkurugenzi huo alisema kwamba nyumba hizo zitakuwa zimejengwa vizuri,barabara nzuri pamoja na njia za maji ambazo zitakuwa zimeandaliwa vizuri.
Huwo mkurugenzi alisema kwamba karibu na nyumba hizo kutakuwa kumetengwa sehemu ya kuuzia dawa,maktaba,sehemu ya sinema pia na sehemu ya kujipatia vinjwaji.
Aliendelea na kusema kwamba watakaoishi ndani ya hizo nyumba mahitaji mengi ya kibinadamu yatakuwa karibu yao.
Mkurugenzi wa shirika hilo alimalizia na kusema kwamba atakayetaka ataweza kukodisha sehmu moja ya nyumba yake na kuishi katika sehemu nyingine.