Kampuni ya BMBC inasema kwamba katika sikukuu za mwisho wa mwaka wa 2021, wateja waliendelea kujitokeza katika kampuni hiyo na kutoa kazi mpya tofauti na miaka iliopita ambapo kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka wateja hawakukua wanajitokeza.
Katika mahojiano,mkurugenzi wa BMBC alisema mwaka wa 2021 Kampuni hiyo iliaminiwa na wateja wengi sana kuliko miaka mingine sababu hapo awali wateja walikuwa wanajikata kipindi cha sikukuu za kumaliza mwaka.
Huwo mkurugenzi wa BMBC alisema kuona mwaka huu wa 2021 waliendelea kupata wateja wakati wa sikukuu za kumaliza mwaka ni ishara ya kuwa watu walitekeleza wito wa BMBC.
Alisema kuwa watu wengi hutoa kazi kwa kampuni hiyo baada ya kufuata taarifa za kampuni hiyo kwenye mitandao ya kijamii na mwisho kuamua kutoa kazi kwa BMBC.
Alisema:“Anayetoa kazi kwa BMBC siyo kusema anakuwa ametoa kazi kwangu ao kwa mtu tunayefanya kazi pamoja,hapana anakuwa ametoa kazi kwa kampuni yote.”
Mkurugenzi wa BMBC alisema kwamba sababu kampuni ya BMBC ina watalaamu wenye uzoefu katika ujenzi wa nyumba pamoja na hivo husababisha watu wetu kutoa kazi kwa kampuni hiyo.