Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Je wafahamu kwa nini mkurugenzi wa BMBC anafika mwenyewe kwenye uwanja wa kujenga ?

Mkurugenzi wa BMBC anafahamisha kwamba anafika mwenyewe kwenye uwanja wa kujenga kwa malengo ya kujihakikishia kuwa vilivyoombwa na mteja katika mkataba wa kumujengea viko vinafuatwa.

Mkurugenzi wa BMBC alisema «Mkurugenzi asiyefika sehemu wanapojenga kazi itaenda vibaya.»

Huwo mkurugenzi anasema watu watajenga vizuri wakiwa na mtu anayefuatilia karibu kazi wanayoyifanya.

Alisema : «Katika uchunguzi ninawoufanya lazima nichunguze kuwa kazi inayofanywa  iko sambamba na hela iliyopangiwa kazi hiyo.»

Mkurugenzi huwo anamaliza akisema kwamba kujeng siyo rahisi sababu inaomba ujasiri ili kazi iliyopangwa isiwe na kosa yoyote ili waepuke makosa.

About the author

Leave a Reply