Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Kampuni ya BMBC inafahamisha kuwa katika kazi zake inakumbana na changamoto mbali mbali hasa uhaba wa wafundi mahiri sababu wanaoapatikana hupewa mafunzo upya kabla ya kuanza kazi.

Katika hotuba ya mkurugenzi wa BMBC,tarehe 2 Januari 2021, alisema kwamba,kutoa elimu kwa wafundi wapya wanaoajiriwa inaomaba uwezo wa hela nyingi.

Changamoto nyingine zinazokumba kampuni hiyo ni tatizo ya wafanyakazi wanaofukuzwa kutokana na kutoajibika katika  kazi zao ambazo wanafanya vibaya.

Kampuni hiyo inasema kwamba watu wengi wanapenda kushirikiana na BMBC ila wanakumbana na changamoto za ukosefu wa uwezo ili watoe kazi kwa BMBC na hivo husababisha kampuni kutosonga mbele ipasavyo.

About the author

Leave a Reply