Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Fundi wa kampuni ya BMBC anasema kuwa kampuni ya BMBC inafanya miradi ya ujenzi vizuri kwa kuandaa mahitaji yote yanayohitajika katika ujenzi na kwamba kazi zake hazina kasorobo.

Katika mahojiano na kitengo cha mawasiliano cha kampuni ya BMBC alipokuwa anafanyia kazi katika jengo moja,fundi huwo alisema kwamba ili nyumba ijae inakuwa imeguswa na watu wengi.

Fundi huwo alisema kuwa kazi wanayoyifanya ya kujenga,alisema kazi hiyo inasaidia familia zao kupata maendeleo ya kudumu.

Katika mahojiano hayo aliongeza kuwa wateja wanapofurahia nyumba waliojengewa, wanaleta wateja wengine wengi ili nao wahudumiwe kwa mahitaji yao.

Aliongeza kuwa wafanyakazi wa kutosha wakiwepo pamoja na wasimamizi wao wakiwepo,husaidiya kuepuka makosa ya kikazi na hivo kazi inaisha sawa sawa na muda uliopangiwa kazi hiyo.

Mfanyakazi alimaliza kwa kualika wafanyakazi wenzake kufanya kazi kwa bidii na aliomba wateja wa kampuni ya BMBC kutoa kazi ili familia zao ziweze kujiendelesha kimaisha.

About the author

Leave a Reply