Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi
Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Historia :Je wafahamu jinsi kampuni ya BMBC ilivyoanza na wapi imefika kwa sasa?

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anafahamisha kwamba kampuni anayoyiongoza ina wafanyakazi 13 wenye kufanyia kazi ofisini pamoja na wafanyakazi 150 wanaofanyia kazi kwenye majengo ya kampuni kila mwezi.

Katika hotuba yake tarehe 2 Januari 2022 ambapo wafanyakazi wote wa kampuni walikuwa  pamoja wakisherekea mwaka mpya na kupeana mawazo ya kuendelesha kampuni alisema kampuni hiyo imesonga mbele.

Mkurugenzi mkuu wa BMBC alisema kuwa kampuni hiyo ilianzishwa naye mwaka wa 2012 akiwa mtu mmoja.

Huwo mkurugenzi alisema kwamba mwanzoni kampuni hiyo ilikuwa haingiza hela na alipokuwa anafahamisha watu kwamba ameanzisha kampuni ya ujenzi walikuwa wanamcheka na wengine kumuita taperi.

Katika hotuba yake,mkurugenzi wa BMBC alisema miaka iliofuata kampuni ilipata maendeleo ya kutosha ila ifikapo mwaka wa 2015 vilivyofikia nchini viliathiri kitengo cha ujenzi nchini.

Mkurugenzi huwo alisema kwamba wakati huwu kampuni ina kazi nyingi  na siku zijazo kazi zitakuwa nyingi kutokana na mikataba inayokaribia kusainiwa.

Msimamizi huwo wa kampuni anasema kwamba kwa niaba yake anashukuru hatuwa ya kampuni sababu hakuna kampuni za kitengo cha ujenzi ambazo wafanyakazi wake wanaweza kumaliza mwaka bila kukosa vibarua.

Mkurugenzi wa kampuni wa BMBC alimaliziya na kusema kuwa hatuwa ya sasa ya BMBC ni ya kuridhisha.

About the author

Leave a Reply