Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mkurugenzi wa kampuni ya BMBC anafahamisha kuwa kampuni hiyo imesha jengea mashirika na viwanda mbali mbali vya serikali na vya watu binafsi kama kiwanda cha kutengeneza vinywaji Brarudi na vinginevyo.

Katika mahojiano mkurugenzi wa BMBC alisema kuwa kampuni ambazo zimeshafanyiwa kazi na BMBC zilishukuru kazi hiyo.

Mkurugenzi huwo anahakikisha kuwa mradi wa BMBCHOMESBujumbura-Gahahe2021 unaofanywa na BMBC ikishirikiana na benki BGF hushuhudia kuwa imeshashirikiana na viwanda vingi.

Kampuni ya BMBC inaalika viwanda,kampuni vyenye miradi ya ujenzi kutoa kazi kwa BMBC ili iwafanyiye miradi yao.

About the author

Leave a Reply