Mradi wa kampuni ya BMBC unaoitwa BMBCHOMES2021BUJUMBURA-GAHAHE ni mradi mzuri unaofanyika katika uwanja na sehemu nzuri kwenye mtaa wa Gahahe karibu na mtaa wa Carama pembeni na barabara kubwa ya namba 9 ya Bujumbura –Bubanza.
Mradi wa BMBCHOMES2021BUJUMBURA-GAHAHE ulishaanza na nyumba nyingi zimesha uzwa.






Katika mradi huwo wa BMBCHOMES2021BUJUMBURA-GAHAHE umefanywa na nyumba nzuri za kisasa ,na hizo nyumba zipo karibu na maeneo ya Tenga ambapo barabara namba ya 1 na barabara namba ya 9 zitakutania.
Mradi huwo mpya nchini Burundi una manufaa mbali mbali ,wanaohitaji kujiunga wanaombwa kukaribia kampuni ya BMBC ili iwafahamishe utaratibu wote.