Bujumbura
Bujumbura
Gitega
+257 79 50 02 27 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Kigobe Sud, Boulevard MWAMBUTSA, Avenue MURWI B.P 2011 Bujumbura
+257 79 500 227 Mon - Fri 09:00 - 17:00 Etage kwa Kodja(koca) 1èr étage bureau Numero 3, Gitega - Burundi

Identification Fiscale
NIF 4000126005
The Best
#1 MU KWUBAKA
Numbero #1
Mu Burundi
Saba Devis

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anafahamisha kwamba kampuni hiyo imepiga hatua nzuri ya kimaendeleo katika kipindi cha miaka 10 tangu ianze kazi.

Katika mahojiano na Rediyo na televisheni vya Rema FM,alisema kwamba kampuni hiyo imeshafanya kazi nyingi zinazohusu kujenga nyumba za watu binafsi na za kampuni.

Katika kampuni hiyo wanasema kwamba walianzisha mradi ulioitwa BMBCHOMES2021Bujumbura-Gahahe ambapo nyumba za kisasa zinajengwa katika nafasi moja. Mkurugenzi wa BMBC anaomba watu kujiunga na mradi huwo muzuri.

About the author

Leave a Reply