Kampuni ya BMBC ina vipengele vingi tofauti ila vyote vinaajibika ipasavyo kwa kufanya kazi vema bila pingamizi yoyote.
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anasema kwamba kutumia muda vizuri ni kitu muhimu sana na ndo sababu katika kampuni hiyo walijipa muda wa kutosha ili wajenge vyema kampuni.

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anasema kwamba kila kitu kinahitaji kujitoa na anahakikisha kuwa viongozi wa kampuni hiyo wanatoa elimu kila wakati kwa wafanyakazi wa vitengo vyote ili kazi zifanywe vizuri.
Katika mahojiano na kitengo cha kutoa habari cha BMBC,mkurugenzi huwo alisema kuwa kampuni hiyo inaandaa wafanyakazi wake ili wafanye kazi vema.
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BMBC anatoa wito kwa wafanyakazi wake kuendelea kupewa elimu ili iwasaidiye katika kazi yao.